Unapokuwa na tatizo la sukari, unatakiwa kujua jinsi ya
kuishi kila siku ili kuepukana na tatizo hilo. Kiasi ambacho hata mpenzi wako
ataacha kuogopa kuhusu hali yako. Kiasi kwamba afya yako itakuwa katika hali
nzuri. Kiasi hicho cha sukari katika damu yako kiwe kinapungua kila siku na
kupelekea afya yako kurudi katika hali ya kawaida.
Vitu ambavyo vinaweza kuongeza au kukuletea shida ya
ongezeko la sukari kwenye damu yako ni pamoja na dalili za kuwa na sukari ni
·
Kuongezeka uzito
·
Tamaa ya kula vitu vya sukari au sukari yenyewe.
·
Kuishiwa nguvu
·
Kukojoa kila mara
·
Kuwa mchovu
·
Kuwa na kiu
·
NK
Hizi ni dalili ambazo zinaashiria
kiwango cha sukari katika damu yako kinaweza kuwa juu.
Kuongeza kwa kiwango cha sukari
katika damu yako mara kwa mara kunaweza kukuletea matatizo mengi ya kiafya,
yakiwepo
·
Magonjwa ya moyo.
·
Matatizo ya macho.
·
Matatizo katika figo
·
Kukosa hamu ta tendo la ndoa au kushindwa
kabisa.
Na mzunguko mzima wa mwili wako
kuwa na matatizo mengi. Haya ni baadhi
ya mambo yanayotokea wakati kiwango cha sukari kwenye damu kiko juu.
CHUNGA UNACHOKULA
Kuchunga au kujua unachotakiwa
kula ni sehemu ya matibabu ya tatizo hili la ongezeko la sukari katika damu.
Hii ndio maana CORNWELL TANZANIA
tumekutengenezea DIEBETIC PROGRAM ambayo itakusaidia kupunguza tatizo hili au
kuondoa kabisa. Kukupa nguvu ya kuweza kuishi maisha ya kawaida. Pia kuwa na
elimu ya afya.
Ndani ya siku 30 utaweza kuona
tofauti kubwa kiafya na kiakili pia. Mwili wako utakuwa na uwezo wa kuvunja huo
mzunguko mmbaya wa sukari kwenye damu.
Siyo tu hivyo, ila pia utafurahia
faida ya kuwa na hamu ya kula. Kuwa na kumbu kumbu pia na hamu ya Tendo la ndoa
na vitu vingine vingi ambavyo hushindwa kufanywa wakati sukari inapokuwa juu.
Usingoje mpaka kiwango cha sukari
kwenye damu yako kiwe juu. Jifunze kucheck afya yako kila mara. CHUNGA
UNACHOKULA. JUA UNACHOTAKIWA KULA NA NI WAKATI GANI.
KWA MSAADA ZAIDI UNAWEZA KUWASILIANA
NASI 0713 306263 AU 0763 578057
EMAIL :cornwelltanzania@cornwelltanzania.com 0r
cornwellquality@gmail.com